Favorite Websites

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Kuu ya Serikali

Img

Tovuti Kuu ya Serikali imebuniwa, kutengenezwa na kuendeshwa na Wakala ya Serikali Mtandao. Lengo kuu la Tovuti Kuu hii ni kuwezesha upatikanaji wahuduma za umma kwa uwazi, urahisi na gharama nafuu kutoka Taasisi mbalimbali za umma kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara, watumishi na wadau wengine wandani na nje ya nchi. Taarifa zilizomo ndani ya Tovuti Kuu hii ni matokeo ya juhudi za pamoja za Taasisi mbalimbali za umma zikiwemo Wizara, Idara, Wakala na Mamlaka za Serikali za Mitaa.