
|
Mensuel Indépendant d'information et de débat pour la culture de la paix et contre l'extrémisme entre les peuples |
|||||||||||
|
N°01- Février 2003 |
KARIBU |
||||||||||
|
© Copyright JMGL
|
Tunawakaribisha nyie wote ambaye mnapata fursa ya kusoma vipindi vya habari na mazungumzo kadhaa ambayo tutawatayarishia hapa kwenye mtambo wa Internet. Sisi tuko kikundi cha wanahabari wanaoshughulikia amani na kusikilizana kati ya wananchi za Eneo la Maziwa Makubwa (JMGL). Musituwe radhi kwamba mengi ya habari zetu yatatayirishwa katika lugha ya kifransa. Ni jambo lilinganalo na mgogoro wa mawanzisho ya kipindi hiki. La sivyo, tunatumai kwamba tutaweza kuwatumia vipindi vya kiswahili katika siku zijazo. Tutajitihada kutoa kila habari katika lugha ambayo tutakuwa tuliitolewa na waandishi wetu. Ahsante sana kwa kila yeyote yule atakayetutumia habari na baruwa zake katika lugha ya kiswahili. Tunaita wanahabari wa eneo la maziwa makubwa kututumia kila habari ihusuyo haki za binadamu na amani ya wenyeji na kusikilizana vema kati ya makabila ya eneo hilo. Ahsante mara nyingine !
YALIYOPITA Les Grands Lacs des crimes de guerres ?
Les Grands Lacs des Réfugiés et déplacés ?
Les Grands Lacs des haines ethniques ? Les Grands Lacs de cannibalisme et anthropophagie ?
Les Grands Lacs des tortures et des viols ?
Les Grands Lacs des génocides ?
Les Grands Lacs des grandes crises politiques ?
Les Grands Lacs de famine et de pauvreté ?
Vers des Grands Lacs paisibles, prospères et justes. |
||||||||||
|
HALAFU |
|||||||||||
|
Tukifuata esengo ya Wanyarwanda wakati wanacheza nyimbo... |
... ile ya Warundi wakati wanacheza ngoma... |
... na ile ya Wakongo wakati wanacheza rumba na ndombolo, |
|||||||||
|
TUSHUGHULIKIE AMANI NA UNDUGU WA WENYEJI WA ENEO LA MAZIWA MAKUBWA
|
|||||||||||
|
*** Eneo la maziwa makubwa linakimbilia mambo ya kiulimwengu *** |
|||||||||||
|
Publication de l'équipe des Journalistes Modérateurs des Grands Lacs (JMGL) et de la Ligue contre l'Extrémisme dans les Cultures Africaines (LICEX). |
Directeur : Philippe MPAYIMANA, Journaliste et Militant des Droits de l'Homme. |
||||||||||